Thursday, June 19, 2014

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO JULAI 10 2014.


WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO
 
 
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2014 ambao waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013
 
Wanafunzi waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 10 Julai 2014 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. Aidha, hakutakuwa na mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa shule walizopangiwa, hivyo wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama inavyoonekana katika matokeo haya.
 
 
SOMA TAARIFA YA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUINGIA KIDATO CHA TANO HAPA
 
 
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2014
 
Wasichana --- Shule Zote      
Wavulana --- Majina ya Shule A Mpaka L      
Wavulana --- Majina ya Shule M mpaka Z