Thursday, May 1, 2014

KISWAHILI KIDATO CHA NNE MUHTASARI.


KISWAHILI KIDATO CHA NNE
KISWAHILI KIDATO CHA 1
Malengo ya kufundisha KiswahiIi katika Shule za Sekondari  
Mafunzo ya Kiswahili katika shule za Sekondari, yanakusudiwa kuwawezesha wanafunzi:
1. Kuturnia Kiswahili kwa ufasaha katika fani zote za maisha.
2. Kuhakiki kazi za fasihi ya Kiswahili.
3  Kujenga tabia ya udadisi katika masuala ya lugha ya Kiswahili
4  Kuelewa kuwa Kiswahili ni sehemu muhimu ya Utamaduni wa Tanzania.
MALENGO  YA KIDATO CHA NNE
Mwanafunzi aweze:
1.      Kuchanganua fani na maudhui ya fasihi
2.      Kuhakiki kazi za fasihi
3.      Kukusanya na kuhifadhi kazi za fasihi simulizi
4.      Kutunga kazi za fasihi
5.      Kufafanua vyanzo  vya fasihi  andishi
6.      Kufafanua uenezi, uhifadhi na matatizo ya fasihi andishi
7.      Kuhakiki vitabu teule vya fasihi andishi
8.      Kufafanua uundaji wa maneno
9.      Kuchanganua Sentensi
10.  Kujibu maswali kutokana na habari aliyoisoma au kuisikiliza
11.  Kufupisha habari
12.  Kuandika habari kwa kufuata  taratibu za uandishi
13.  Kueleza umuhimu wa lugha ya mazungumzo na ya maandiashi
14.  Kueleza ukuaji na uenezaji wa kiswahili
1.      FASIHI
a.      Uhakiki wa kazi za Fasihi
b.      Fasihi Simulizi
c.      Fasihi Andishi
2.      SARUFI
a.      Uundaji wa maneno
b.      Uchanganuzi wa sentesi

No comments:

Post a Comment