AN ONLINE PLATFORM THAT PROVIDES EDUCATIONAL CONTENT,SYLLABUSES, STUDY NOTES/ MATERIALS ,PAST PAPERS, QUESTIONS & ANSWERS FOR THE STUDENTS,FORM I--VI ,RESITTERS,QT, ADULT LEARNERS, COLLEGE STUDENTS, PUPILS, TEACHERS, PARENTS,TEACHERS OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND WORLDWIDE.YOU ARE WELCOME TO SHARE YOUR KNOWLEDGE AND IDEAS.ENJOY MASATU BLOG.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE. "LEARN.REVISE.DISCUSS".Anytime, Anywhere.
- HOME
- UTAKUZAJE UWEZO WAKO WA LUGHA ?
- MBINU ZA KUSOMA NA KUFAULU MITIHANI
- HOW TO IMPROVE YOUR MEMORY
- ONLINE LEARNING & DISTANCE LEARNING ( E--LEA...
- O-LEVEL & A--LEVEL SYLLABUS
- FORM FOUR ( F 4 )--SUBJECTS---TANZANIA
- FORM TWO ( F 2 )--SUBJECTS---TANZANIA
- FORM ONE ( F 1 )-- SUBJECTS---TANZANIA
- FORM FIVE( F 5 ) AND SIX ( F 6 )--SUBJECTS ---TANZANIA
- FORM THREE ( F 3 ) SUBJECTS----TANZANIA
- STANDARD 1 & 2 SUBJECTS / MASOMO YA DARASA 1 & 2-...
- STANDARD 3 & 4 SUBJECTS / MASOMO YA DARASA 3 & 4...
- STANDARD 5, 6 & 7 SUBJECTS / MASOMO YA DARASA...
Friday, October 3, 2014
TAKADINI Na Benson Hanson {MBS}----KIDATO CHA 3 NA 4
UHAKIKI : RIWAYA
TAKADINI
MWANDISHI: BENSON HANSON.
WACHAPISHAJI : METHEWS BOOKSTORE AND STATIONERS.
MANDHARI : RIWAYA hii imetumia mandhari ya Vijijini katika nchi ya Zimbabwe katika karne ya 19. Katika masimulizi haya ya riwaya mandhari yake inaweza kugusa vijiji vya nchi nyingi za KIAFRIKA ambazo zipo katika dunia ya tatu. { nchi zinazoendelea }.
MWAKA: 2004.
MAUDHUI
DHAMIRA KUU :
UKOMBOZI WA KIUTAMADUNI
--Ndoa.
--Mirathi.
--Uhai
--Maamuzi.
--Mgawanyo wa kazi.
--Mgawanyo wa mapato na umilikaji wa mali.
--Elimu.
--Utu.
DHAMIRA NDOGO NDOGO
---Mapenzi.
---Ndoa.
---Imani Potofu / Dhana potofu.
---Upendo.
---Ujasiri.
---Malezi ya watoto.
----Umoja na mshikamano
---Elimu.
---Nafasi ya mwanamke katika jamii na ujinsia
WAHUSIKA
TAKADINI
---Huyu ndiye mhusika mkuu wa riwaya hii.
---Ni mtoto wa kwanza wa Sekai.
---Ni mlemavu{ Zeruzeru } na ana tatizo la mguu.
---Kijana wa Kiume.
---Ni mchapakazi na mtu anayependa kujifunza.
---Ni mwenye huruma.
----Ni mtiifu.
---Ni jasiri
---Ni mwanamapinduzi..
---Ni mhanga wa mila na desturi mbaya zinazobagua walemavu.
----Anafaa kuigwa na jamii.
SEKAI :
---Huyu ni mhusika mkuu msaidizi.
---Ni mke wa kwanza wa MAKWATI.
---Ni mwanamke mchapakazi.
---Ni mhanga wa mila na desturi zilizopitwa na wakati.
---Ni mwanamapinduzi.
---Ni mama mzazi wa TAKADINI.
---Ni jasiri.
---Ni mwenye huruma.
---Ni mwenye busara.
----Ni mvumilivu.
----Ni mnyenyekevu
----Ni mchapakazi.
----Ni MPOLE.
---Ni mama mzazi na mlezi mzuri wa familia.
---Ni mama mwenye UPENDO.
---Ni mpishi mzuri wa chakula.
---Anafaa kuigwa na jamii.
MAKWATI
----Ni mume wa SEKAI.
---Ni baba mzazi wa TAKADINI.
---Ni mume mwenye wake wannne,
---Ana UPENDO kwa mkewe.
----Ni mwoga.
---Ni mkale.
Wake wengine wa MZEE MAKWATI ni DARAI , RUMBIDZAI ,
WAHUSIKA WENGINE :
CHIVERO , MTEMI MASASA, SHINGAI , TENDAI , Nhamo , Maishingai , Pindai , Ambuya Tungai , Ambupa Shugu , Pedeisai , Mtemi Zvedi , Tupfmaneyi , Chengatai, Chido , Ambuya Rekai , Mtemi Chinjeyari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment