UHAKIKI : RIWAYA
WATOTO WA MAMA N"TILIE
MWANDISHI: EMMANUEL MBOGO
WACHAPISHAJI : HEKO PUBLISHERS
MWAKA : 2002.
UTANGULIZI
WATOTO WA MAMA NTILIE ni riwaya iliyotungwa na mwandishi maarufu wa RIWAYA na TAMTHILIYA EMMANUEL MBOGO na kuchapishwa na HEKO PUBLISHERS LTD MWAKA 2002. Ni RIWAYA inayochambua kwa kina adha wazipatazo akina mama ntilie. Hawa wametapakaa mijini huku wakifanya BIASHARA YA KUUZA VYAKULA ili kutafuta chochote cha kuwawezesha kutunza familia zao.
MWANDISHI anatueleza kuwa akina mama hawa wanaisi maisha magumu . WATOTO wao ambao wangewasaidia hapo mbeleni hawapati ELIMU kutokana na kukosa mahitaji muhimu ya shule , matokeo yake wanajiingiza katika matendo MAOVU ikiwa ni pamoja na matumizi ya MADAWA YA KULEVYA ,UVUTAJI BANGI na UJAMBAZI.
MAUDHUI
DHAMIRA
{1}.Umaskini.
{2}.Suala la Elimu.
{3}.Suala la Malezi
{4}.Nafasi ya mwanamke katika jamii.
{5}. Wizi , Ujambazi na biashara ya madawa ya kulevya.
{6}. Mapenzi.
{7}. Migogoro.
WAHUSIKA WAKUU
{1}. MAMANTILIE{ MAMA ZITA}---Huyu ni mke wa mzee Lomolomo. Ni mama mzazi wa Zita na Peter. Anajihusisha na biashara ya kuuza chakula gengeni.
{2}. MZEE LOMOLOMO ---Mumewe Mamantilie na baba yao ZITA na PETER.
{3}.PETER ---Ni mtoto wa kiume wa Mamantilie na mzee Lomolomo.
{4}.ZITA ---Ni mtoto mwingine wa Mzee Lomolomo.
{5} MWALIMU CHIKOYA.
{6}.DOTO NA KURWA
{7}.ZENABU.
{8}. MUSA.
AN ONLINE PLATFORM THAT PROVIDES EDUCATIONAL CONTENT,SYLLABUSES, STUDY NOTES/ MATERIALS ,PAST PAPERS, QUESTIONS & ANSWERS FOR THE STUDENTS,FORM I--VI ,RESITTERS,QT, ADULT LEARNERS, COLLEGE STUDENTS, PUPILS, TEACHERS, PARENTS,TEACHERS OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND WORLDWIDE.YOU ARE WELCOME TO SHARE YOUR KNOWLEDGE AND IDEAS.ENJOY MASATU BLOG.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE. "LEARN.REVISE.DISCUSS".Anytime, Anywhere.
- HOME
- UTAKUZAJE UWEZO WAKO WA LUGHA ?
- MBINU ZA KUSOMA NA KUFAULU MITIHANI
- HOW TO IMPROVE YOUR MEMORY
- ONLINE LEARNING & DISTANCE LEARNING ( E--LEA...
- O-LEVEL & A--LEVEL SYLLABUS
- FORM FOUR ( F 4 )--SUBJECTS---TANZANIA
- FORM TWO ( F 2 )--SUBJECTS---TANZANIA
- FORM ONE ( F 1 )-- SUBJECTS---TANZANIA
- FORM FIVE( F 5 ) AND SIX ( F 6 )--SUBJECTS ---TANZANIA
- FORM THREE ( F 3 ) SUBJECTS----TANZANIA
- STANDARD 1 & 2 SUBJECTS / MASOMO YA DARASA 1 & 2-...
- STANDARD 3 & 4 SUBJECTS / MASOMO YA DARASA 3 & 4...
- STANDARD 5, 6 & 7 SUBJECTS / MASOMO YA DARASA...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
teacher uko poa mno!
ReplyDeleteAsante wangu !! ubarikiwe sana !!
ReplyDeleteNimekukubali mwalimu wangu
ReplyDeleteasante wangu ! upo pande za wapi ?
ReplyDeleteCongratulations teacher good work
ReplyDeleteingekua vizuri zaidi kama kungekua na muhtasari wa kitabu kizima
ReplyDeleteMbona hujamalizia vipegele vingi?
ReplyDeleteSio nzuri kabisa mbaya haijamaloziwa mbayaaaa kabisa
ReplyDeleteNaomba kama una pdf unitumie kwa email yangu,, masumbukodaudi28@gmail.com. Nitashukuru.
ReplyDelete