Thursday, October 2, 2014

WASAKATONGE na Mohamed S. Khatibu. KIDATO CHA 3 NA 4.

                        UHAKIKI :      USHAIRI


                       WASAKATONGE

MWANDISHI:   MOHAMED  S.  KHATIBU
WACHAPISHAJI:  DUP
MWAKA:  2003.


                                        MAUDHUI

DHAMIRA    KUU
{i}.  Ujenzi    wa   jamii   mpya.
{ii}.  Ukombozi.


UJENZI   WA   JAMII    MPYA

{i}.  Kupiga  vita   Uongozi  mbaya.
{ii}.Kuwa    na   demokrasia  ya   kweli   na  utu.
{iii}. Kupiga  vita   matabaka.
{iv}.Kupiga  vita  Unafiki  na   Usaliti.
{v}.Umuhimu   wa kufanya   kazi   kwa   bidii.
{vi}.Kupiga   vita  Ukoloni   mamboleo.
{vii}.Kupiga  vita   mmomonyoko  wa   maadili.
{viii}. Kupiga  vita   hali   ngumu  ya  maisha.


DHAMIRA    NDOGONDOGO

{i}.  Mapenzi.
{ii}. Nafasi   ya  mwanamke   katika  jamii.