WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO
Ofisi ya Waziri Mkuu
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) imetangaza majina ya
wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2014
ambao waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013
|
|||||
Wanafunzi waliochaguliwa
wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 10 Julai
2014 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. Aidha, hakutakuwa na
mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa shule walizopangiwa, hivyo
wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama
inavyoonekana katika matokeo haya.
|
|||||
SOMA TAARIFA YA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUINGIA KIDATO CHA TANO HAPA | |||||
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2014 | |||||
Wasichana --- Shule Zote | |||||
Wavulana --- Majina ya Shule A Mpaka L | |||||
Wavulana --- Majina ya Shule M mpaka Z |
No comments:
Post a Comment