Monday, October 13, 2014

Walimu wa Shule ya Msingi Kilimani wakiwa katika ZIARA YA KIELIMU BAGAMOYO --- KAOLE 2007

Mwl.  Japhet   Masatu  alishawahi  kufundisha  katika   SHULE  YA  MSINGI  KILIMANI, iliyopo  Manispaa  ya   Kinondoni. Dar  es  salaam , Tanzania   mwaka   2007----2008.

A trip to BAGAMOYO--KAOLE--Teachers and Pupils of Kilimani Primary School, Dar es salaam , Tanzania --2007


A Trip to KUNDUCHI BEACH with Pupils of KILIMANI PRIMARY SCHOOL , DAR --ES SALAAM --2007.


Mwl. Japhet Masatu at Mikumi National Parks , Morogoro Tanzania.


A Trip To Mikumi National Park , Morogoro , Tanzania prepared by Kilimani Primary School Pupils with teachers ---2007


Mwl. Japhet Masatu and Enock Mwasubila { Works at TBC } at Mikocheni Primary School { BTP }-2004


Mwl. Japhet Masatu attended at TUKUYU TEACHERS" COLLEGE , RUNGWE , TUKUYU , MBEYA, TANZANIA 2008---2010


Mwl. Japhet Masatu at Magereza Primary School , Rungwe , Tukuyu , Mbeya, Tanzania -----2005.


Mwl. Japhet Masatu studied HGL at MGULANI / JITEGEMEE HIGH SCHOOL 1998----2000 Dar es salaam , Tanzania.

Mwl.  japhet   Masatu kulia  alijiunga   na   masomo   ya  kidato   cha  tano   na  sita  katika   shule  ya   MGULANI  HIGH  SCHOOL ,shule  ya  jesi  iliyopo  Dar  -es--salaam,  Kinondoni,  Tanzania.

Mwl. Japhet Masatu at Mwananyamala Primary School --- 1985--1991, Dar es salaam, Tanzania.


Mwl. Japhet Masatu at AZANIA SECONDARY SCHOOL , 1992----1995


Mwl. Japhet Masatu at Babptism CATHOLIC CHURCH ---02/ 04/ 1988


Mwl. Japhet Masatu at Vikindu Teachers College , Pwani Region, Tanzania---2004.


Mwl. Japhet Masatu attended at Vikindu Teachers College , 2004 , Pwani Region, Tanzania.

Mwl.  Japhet  Masatu  alihudhuria    Mafunzo   ya   Ualimu   katika   Chuo   Cha  Ualimu   Vikindu , Mkoa  wa  Pwani , Tanzania, mwaka  2004  Chuoni  na   mwaka   2005  Kazini   kwa  Vitendo   Mkoani  Mbeya,  Wilaya  ya Rungwe ,  Tukuyu   katika   Shule   ya   Msingi  Magereza   na   baadaye  mwaka    2006  akahamishwa  na   kwenda   kufundisha    Shule   ya   Msingi   Kayuki  wilaya   hiyo  hiyo  Rungwe ,  Tukuyu ,  Mbeya.  Mwaka   2007  akahamishiwa    Dar  es  salaam    katika   Shule   ya  Msingi   Kilimani  iliyopo   Manispaa   ya   Kinondoni ,  Dar  es  salaam.  Mwaka   2008 akaanza   Masomo   ya  Diploma   ya  Ualimu , Chuo  cha  Ualimu ,  Tukuyu  na   kumaliza   2010.  Mwaka   2011 akahamishiwa   Shule   ya   Sekondari   Manzese  iliyopo  Manispaa  ya  Kinondoni ,  Dar  es  salaam , Tanzania.  Mwaka   2013  amejiunga   na   Chuo  Kikuu  Huria cha  Tanzania, kinondoni  centre  kwa  ajili  ya  masomo   ya  Elimu   ya   juu  zaidi  katika Elimu.  B.Ed { Adult  Education }. PICHANI Mwl  ,Japhet   Masatu  alikuwa   Chuo  Cha  Ualimu  Vikindu ,  Mkoani  Pwani.

My Family Tree


My young brother , Godfrey Masatu , Pharmacist , The Third Born.


My Young Sister , Eliada Masatu , The Last Born


My Beloved Sister , Second Born , Dr. Veneranda Masatu.


My Beloved Mother , Speciosa.


My Beloved Father , MASATU