AN ONLINE PLATFORM THAT PROVIDES EDUCATIONAL CONTENT,SYLLABUSES, STUDY NOTES/ MATERIALS ,PAST PAPERS, QUESTIONS & ANSWERS FOR THE STUDENTS,FORM I--VI ,RESITTERS,QT, ADULT LEARNERS, COLLEGE STUDENTS, PUPILS, TEACHERS, PARENTS,TEACHERS OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND WORLDWIDE.YOU ARE WELCOME TO SHARE YOUR KNOWLEDGE AND IDEAS.ENJOY MASATU BLOG.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE. "LEARN.REVISE.DISCUSS".Anytime, Anywhere.
- HOME
- UTAKUZAJE UWEZO WAKO WA LUGHA ?
- MBINU ZA KUSOMA NA KUFAULU MITIHANI
- HOW TO IMPROVE YOUR MEMORY
- ONLINE LEARNING & DISTANCE LEARNING ( E--LEA...
- O-LEVEL & A--LEVEL SYLLABUS
- FORM FOUR ( F 4 )--SUBJECTS---TANZANIA
- FORM TWO ( F 2 )--SUBJECTS---TANZANIA
- FORM ONE ( F 1 )-- SUBJECTS---TANZANIA
- FORM FIVE( F 5 ) AND SIX ( F 6 )--SUBJECTS ---TANZANIA
- FORM THREE ( F 3 ) SUBJECTS----TANZANIA
- STANDARD 1 & 2 SUBJECTS / MASOMO YA DARASA 1 & 2-...
- STANDARD 3 & 4 SUBJECTS / MASOMO YA DARASA 3 & 4...
- STANDARD 5, 6 & 7 SUBJECTS / MASOMO YA DARASA...
Saturday, October 11, 2014
Thursday, October 9, 2014
Wednesday, October 8, 2014
JAPHET MASATU ALBUM NO. 16
Mwl. Japhet Masatu akiwa na Professa GABRIEL katika Semina ya Vijana iliyofanyika pale MLIMANI CITY, DAR ES SALAAM ,TANZANIA August 2013.
Tuesday, October 7, 2014
JAPHET MASATU ALBUM NO. 15
Mwl. Japhet Masatu alipohudhuria Semina ya Vijana , pale MLIMANI CITY, " BADILISHA FIKRA" AUGUST 2013, DAR ES SALAAM, TANZANIA.
Monday, October 6, 2014
MWL. JAPHET MASATU ALBUM NO 13
Mwl. Japhet Masatu akiwa darasani na Wanafunzi wa Kidato cha nne wa SALMA KIKWETE SECONDARY SCHOOL---- 2014.
MWL JAPHET MASATU ALBUM NO. 12.
Mwl. Japhet Masatu alipotembelea MABWE PANDE FOREST kwa ajili ya GEORAPHY FIELD PRACTICAL ------ 2014.
MWL. JAPHET MASATU IN COMPUTER ROOM NO . 11.
Mwl. Japhet Masatu akijifunza COMPUTER , CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA, KINONDONI CENTRE , DAR ES SALAAM 2014.
MWL. JAPHET MASATU"S ALBUM NO. 9
Mwl. Japhet Masatu akiwa Mlimani City Katika Semina Ya Vijana iliyofanyika AUGUST 2014. "BADILISHA FIKRA "
Sunday, October 5, 2014
JAPHET MASATU ALBUM NO 6
Mwl. Japhet Masatu akifundisha Wanafunzi wa Kidato cha nne , somo la GEOGRAPHY wa Salma Kikwete Secondary School, April 2014.
MWL. JAPHET MASATU ALBUM NO 5
Wanafunzi wa kidato cha nne wa Salma kikwete Secondary Wakiwa katika Vikundi vya Kujisomea / Group Discussions. Shule hiyo ipo Manispaa ya Kinondoni , Dar es salaam, Tanzania. April 2014.
JAPHET MASATU ALBUM NO 4
Wanafunzi wa Manzese Secondary Wanakabiliwa na tatizo la Viti na Meza na imewapelekea kupata shida wakati wa Kuandika nukuu / lesson notes pindi Mwalimu anapofundisha darasani. September 2014.
MWL. JAPHET MASATU ALBUM NO 3
Mwl. Japhet Masatu akifundisha somo la GEOGRAPHY kidato cha pili wanafunzi wa Manzese Secondary School iliyopo Manispaa ya Kinondoni , Dar es salaam , Tanzania. September 2014.
MWL JAPHET MASATU ALBUM NO 2
Mwl. Japhet Masatu akiwa darasani katika kipindi akifundisha somo la GEOGRAPHY wanafunzi wa Manzese Secondary School iliyopo Manispaa ya Kinondoni ,Dar es salaam , Tanzania. September 2014.
JAPHET MASATU ALBUM NO. 1
MWL. JAPHET MASATU AKIWA NA WANAFUNZI WA SALMA KIKWETE SECONDARY ILIYOPO KINONDONI , DAR ES SALAAM , TANZANIA. --- APRIL 2014.
Friday, October 3, 2014
JOKA LA MDIMU A.J. Safari{ H.P}---KIDATO CHA 3 NA 4
UHAKIKI---RIWAYA
JOKA LA MDIMU
MWANDISHI: ABDALA .J. SAFARI{H.P.}
MCHAPISHAJI: HUDA PUBLISHERS.
MWKA: 2007.
UTANGULIZI
RIWAYA YA JOKA LA MDIMU ni riwaya ambayo inaakisi vizuri matatizo ya KIUCHUMI ya miaka ya themanini nchini TANZANIA. RIWAYA hii inaakisi tu , haihakiki , hali ya maisha katika kipindi cha dhiki ya ukosefu wa bidhaa muhimu kama vile nguo, chakula , mafuta , spea za mashine n.k. Wakati huu wa dhiki watu wengine wanateseka na kuumia , kuna wengine wachache wanaotumia nafasi zao kuchuma kadri wanavyoweza , hasa kwa njia haramu.
UHAKIKI WA MAUDHUI
DHAMIRA KUU: Hali ngumu ya Maisha.
DHAMIRA NYINGINEZO
{1}.Rushwa katika jamii.
{2}.Urasimu.
{3}.Kutowajibika.
{4}.Nafasi ya Mwanamke katika jamii.
{5}.Mapenzi na Ndoa.
{6}. Uhujumu Uchumi na Magendo.
{7}. Ufisadi.
WAHUSIKA
{1}. AMANI---Huyu ni mhusika mkuu. Ni dereva taksi. Ni kijana mchapa kazi. Ana huruma. Ana hekima na busara.Anafaa kuigwa na jamii.
{2}. GRAY KWACHA---Huyu ni mhusika msaidizi. Ni mkurugenzi wa Idara ya Fedha za Kigeni. Ni malaya. Si mtu adilifu. Ni fisadi. Anapenda rushwa.Anafanya biashara za magendo. Hafai kuigwa.
{3}. TINO---Huyu ni mhusika mkuu msaidizi. Ni mvuta kwama. Ni baba wa watoto watatu. Ni jasiri. Ni mchapa kazi. Mwanamichezo. Anafaa kuigwa.
WAHUSIKA WENGINE:
----JINJA MALONI , DAKTARI MIKWALA ,SHIRAZ BHANJ , ZITTO ,CHECHE ,

WATOTO WA MAMA N" TILIE -------- E. Mbogo H .P} ---KIDATO CHA 3 NA 4
UHAKIKI : RIWAYA
WATOTO WA MAMA N"TILIE
MWANDISHI: EMMANUEL MBOGO
WACHAPISHAJI : HEKO PUBLISHERS
MWAKA : 2002.
UTANGULIZI
WATOTO WA MAMA NTILIE ni riwaya iliyotungwa na mwandishi maarufu wa RIWAYA na TAMTHILIYA EMMANUEL MBOGO na kuchapishwa na HEKO PUBLISHERS LTD MWAKA 2002. Ni RIWAYA inayochambua kwa kina adha wazipatazo akina mama ntilie. Hawa wametapakaa mijini huku wakifanya BIASHARA YA KUUZA VYAKULA ili kutafuta chochote cha kuwawezesha kutunza familia zao.
MWANDISHI anatueleza kuwa akina mama hawa wanaisi maisha magumu . WATOTO wao ambao wangewasaidia hapo mbeleni hawapati ELIMU kutokana na kukosa mahitaji muhimu ya shule , matokeo yake wanajiingiza katika matendo MAOVU ikiwa ni pamoja na matumizi ya MADAWA YA KULEVYA ,UVUTAJI BANGI na UJAMBAZI.
MAUDHUI
DHAMIRA
{1}.Umaskini.
{2}.Suala la Elimu.
{3}.Suala la Malezi
{4}.Nafasi ya mwanamke katika jamii.
{5}. Wizi , Ujambazi na biashara ya madawa ya kulevya.
{6}. Mapenzi.
{7}. Migogoro.
WAHUSIKA WAKUU
{1}. MAMANTILIE{ MAMA ZITA}---Huyu ni mke wa mzee Lomolomo. Ni mama mzazi wa Zita na Peter. Anajihusisha na biashara ya kuuza chakula gengeni.
{2}. MZEE LOMOLOMO ---Mumewe Mamantilie na baba yao ZITA na PETER.
{3}.PETER ---Ni mtoto wa kiume wa Mamantilie na mzee Lomolomo.
{4}.ZITA ---Ni mtoto mwingine wa Mzee Lomolomo.
{5} MWALIMU CHIKOYA.
{6}.DOTO NA KURWA
{7}.ZENABU.
{8}. MUSA.

Subscribe to:
Posts (Atom)