MUHTASARI WA KISWAHILI KIDATO CHA V---VI , 2010.
KIDATO CHA TANO.
{1}.MAENDELEO YA KISWAHILI {1}. {2}.FASIHI KWA UJUMLA.
{3}.MAENDELEO YA FASIHI SIMULIZI. {4}.KUHAKIKI KAZI ZA FASIHI ANDISHI{1}.
{5}.MATUMIZI YA SARUFI{1}.
{6}.UFAHAMU NA UFUPISHO.
{7}.UTUNGAJI.
{8}. UTUMIZI WA LUGHA.
{9}.TAFSIRI NA UKALIMANI{1}.
KIDATO CHA SITA. {1}.MAENDELEO YA KISWAHILI {2}.
{2}. UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI{2{3}.MATUMIZI YA SARUFI{2}
{4}. KUTUNGA HABARI.
{5}.KUTAFSIRI NA KUKALIMANI{2}.
REJEA:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI.
MUHTASARI WA KISWAHILI KWA ELIMU YA SEKONDARI
KIDATO CHA V--VI , 2010
TOLEO LA KWANZA : 2009.
TOLEO LA PILI : 2010.
MUHTASARI HUU UMETAYARISHWA NA :
TAASISI YA ELIMU TANZANIA
S.L.P 35094
DAR---ES--SALAAM , TANZANIA.