UHAKIKI---RIWAYA
JOKA LA MDIMU
MWANDISHI: ABDALA .J. SAFARI{H.P.}
MCHAPISHAJI: HUDA PUBLISHERS.
MWKA: 2007.
UTANGULIZI
RIWAYA YA JOKA LA MDIMU ni riwaya ambayo inaakisi vizuri matatizo ya KIUCHUMI ya miaka ya themanini nchini TANZANIA. RIWAYA hii inaakisi tu , haihakiki , hali ya maisha katika kipindi cha dhiki ya ukosefu wa bidhaa muhimu kama vile nguo, chakula , mafuta , spea za mashine n.k. Wakati huu wa dhiki watu wengine wanateseka na kuumia , kuna wengine wachache wanaotumia nafasi zao kuchuma kadri wanavyoweza , hasa kwa njia haramu.
UHAKIKI WA MAUDHUI
DHAMIRA KUU: Hali ngumu ya Maisha.
DHAMIRA NYINGINEZO
{1}.Rushwa katika jamii.
{2}.Urasimu.
{3}.Kutowajibika.
{4}.Nafasi ya Mwanamke katika jamii.
{5}.Mapenzi na Ndoa.
{6}. Uhujumu Uchumi na Magendo.
{7}. Ufisadi.
WAHUSIKA
{1}. AMANI---Huyu ni mhusika mkuu. Ni dereva taksi. Ni kijana mchapa kazi. Ana huruma. Ana hekima na busara.Anafaa kuigwa na jamii.
{2}. GRAY KWACHA---Huyu ni mhusika msaidizi. Ni mkurugenzi wa Idara ya Fedha za Kigeni. Ni malaya. Si mtu adilifu. Ni fisadi. Anapenda rushwa.Anafanya biashara za magendo. Hafai kuigwa.
{3}. TINO---Huyu ni mhusika mkuu msaidizi. Ni mvuta kwama. Ni baba wa watoto watatu. Ni jasiri. Ni mchapa kazi. Mwanamichezo. Anafaa kuigwa.
WAHUSIKA WENGINE:
----JINJA MALONI , DAKTARI MIKWALA ,SHIRAZ BHANJ , ZITTO ,CHECHE ,
No comments:
Post a Comment