1. Kutumia Kiswahili kwa ufasaha katika fani zote za maisha.
2. Kuhakiki kazi za fasihi ya Kiswahili.
3 Kujenga tabia ya udadisi katika masuala ya lugha ya Kiswahili
4 Kuelewa kuwa Kiswahili ni sehemu muhimu ya Utamaduni wa Tanzania.
1. Kueleza maana, dhima na tanzu za lugha
2. Kufafanua maana, dhima na tanzu za fasihi
3. Kufafanua maana, dhima na tanzu za fasihi simulizi
4. Kueleza maana, dhima na tanzu za sarufi
5. Kueleza maana na maturnizi ya aina za maneno
6. Kujibu maswali kutokana na habari aliyosikiliza au kuisoma
7. Kueleza maana na dhima ya utungaji.
8. Kusirnulia mambo kwa Kiswahili sanifu
9. Kuandika insha na barua
10.Kueleza maana na dhima ya utumizi wa lugha
11.Kutambua makosa mbalimbali ya kisarufi na kimantiki na
kuyasahihisha
12.Kutumia kamusi
No comments:
Post a Comment