AN ONLINE PLATFORM THAT PROVIDES EDUCATIONAL CONTENT,SYLLABUSES, STUDY NOTES/ MATERIALS ,PAST PAPERS, QUESTIONS & ANSWERS FOR THE STUDENTS,FORM I--VI ,RESITTERS,QT, ADULT LEARNERS, COLLEGE STUDENTS, PUPILS, TEACHERS, PARENTS,TEACHERS OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND WORLDWIDE.YOU ARE WELCOME TO SHARE YOUR KNOWLEDGE AND IDEAS.ENJOY MASATU BLOG.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE. "LEARN.REVISE.DISCUSS".Anytime, Anywhere.
▼
BONYEZA HAPA CHINI / CLICK HERE BELOW.
▼
▼
Monday, October 13, 2014
Walimu wa Shule ya Msingi Kilimani wakiwa katika ZIARA YA KIELIMU BAGAMOYO --- KAOLE 2007
Mwl. Japhet Masatu alishawahi kufundisha katika SHULE YA MSINGI KILIMANI, iliyopo Manispaa ya Kinondoni. Dar es salaam , Tanzania mwaka 2007----2008.
Mwl. Japhet Masatu studied HGL at MGULANI / JITEGEMEE HIGH SCHOOL 1998----2000 Dar es salaam , Tanzania.
Mwl. japhet Masatu kulia alijiunga na masomo ya kidato cha tano na sita katika shule ya MGULANI HIGH SCHOOL ,shule ya jesi iliyopo Dar -es--salaam, Kinondoni, Tanzania.
Mwl. Japhet Masatu attended at Vikindu Teachers College , 2004 , Pwani Region, Tanzania.
Mwl. Japhet Masatu alihudhuria Mafunzo ya Ualimu katika Chuo Cha Ualimu Vikindu , Mkoa wa Pwani , Tanzania, mwaka 2004 Chuoni na mwaka 2005 Kazini kwa Vitendo Mkoani Mbeya, Wilaya ya Rungwe , Tukuyu katika Shule ya Msingi Magereza na baadaye mwaka 2006 akahamishwa na kwenda kufundisha Shule ya Msingi Kayuki wilaya hiyo hiyo Rungwe , Tukuyu , Mbeya. Mwaka 2007 akahamishiwa Dar es salaam katika Shule ya Msingi Kilimani iliyopo Manispaa ya Kinondoni , Dar es salaam. Mwaka 2008 akaanza Masomo ya Diploma ya Ualimu , Chuo cha Ualimu , Tukuyu na kumaliza 2010. Mwaka 2011 akahamishiwa Shule ya Sekondari Manzese iliyopo Manispaa ya Kinondoni , Dar es salaam , Tanzania. Mwaka 2013 amejiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, kinondoni centre kwa ajili ya masomo ya Elimu ya juu zaidi katika Elimu. B.Ed { Adult Education }. PICHANI Mwl ,Japhet Masatu alikuwa Chuo Cha Ualimu Vikindu , Mkoani Pwani.
Mwl. Japhet Masatu alifundisha KAYUKI PRIMARY SCHOOL , TUKUYU, RUNGWE , MBEYA 2006---- 2007
Kutoka Kushoto ni Mwl. STELLA SANGA { BTP} , JOHN MWAMPIKI KOMBA{ BTP } , JAPHET MASATU na MARIAM NGANGANGA{BTP} wakiwa katika picha ya pamoja SHULE YA MSINGI KAYUKI , TUKUYU, RUNGWE MBEYA TANZANIA. MWL JAPHET MASATU alifundisha pia hapo shuleni kuanzia mwaka 2006 mpaka 2007.