UHAKIKI : USHAIRI
WASAKATONGE
MWANDISHI: MOHAMED S. KHATIBU
WACHAPISHAJI: DUP
MWAKA: 2003.
MAUDHUI
DHAMIRA KUU
{i}. Ujenzi wa jamii mpya.
{ii}. Ukombozi.
UJENZI WA JAMII MPYA
{i}. Kupiga vita Uongozi mbaya.
{ii}.Kuwa na demokrasia ya kweli na utu.
{iii}. Kupiga vita matabaka.
{iv}.Kupiga vita Unafiki na Usaliti.
{v}.Umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii.
{vi}.Kupiga vita Ukoloni mamboleo.
{vii}.Kupiga vita mmomonyoko wa maadili.
{viii}. Kupiga vita hali ngumu ya maisha.
DHAMIRA NDOGONDOGO
{i}. Mapenzi.
{ii}. Nafasi ya mwanamke katika jamii.