BONYEZA HAPA CHINI / CLICK HERE BELOW.

Sunday, June 1, 2014

DIRECT TO INDIRECT SPEECH

In this section, We are going to see How the conversion of Direct to Indirect Speech and Indirect to Direct Speech is done?

We may report the words of a speaker in two ways.


1. Direct Speech


We may quote the actual words of the speaker. This method is called Direct Speech.


2. Indirect Speech


We may report what he said without quoting his exact words. This method is called Indirect Speech or
Reported Speech.

Example:


• Direct:
Clinton said, “I am very busy now.”
• Indirect: Clinton said that he was very busy then.

• Direct : He said, “ my mother is
writing letter.”
• Indirect: He said that his mother was writing letter.

How to change Direct to Indirect Speech?

It will be noticed that in Direct Speech, we use inverted commas to mark off the exact words of the speaker. In Indirect Speech we do not use the inverted commas.


It will be further noticed that in changing the above Direct Speech into Indirect speech, certain changes have been made.


Thus:


i. We have used the conjunction ‘that’ before the Indirect Statement.


ii. The pronoun “I” is changed to “HE”. (The Pronoun is changed in Person)


iii. The verb “am” is changed to “was”.


iv. The adverb “now” is changed to “then”.


Rules
for changing Direct into Indirect Speech:

A. When the reporting or principal verb is in the Past Tense, all the Present Tenses in the Direct Speech are changed into Past Tense.

a. A simple
present tense becomes simple past tense.

Example:


• Direct : He said, “I am unwell.”

• Indirect: He said that he was unwell.

b. A present continuous tense becomes a past continuous.


Example:


• Direct : He said, “ my mother is writing letter.”

• Indirect: He said that his mother was writing letter.

c. A present perfect becomes a past perfect:


Are you clear about the conversion of Direct to Indirect Speech?


Example:


• Direct: He said, “I have passed the examination.”

• Indirect: he said that he had passed the examination.

d. As a
rule the simple past tense in the Direct Speech becomes the past perfect tense in Indirect Speech.

Example:


• Direct: He said, “His horse died in the night.”

• Indirect: he said that his horse had died in the night.

NOTE:

The
shall of the future is changed into should.
The
will of the future is changed into would.
The
can and may of the future are changed into could and might respectively.

Are you clear about the conversion of Direct to Indirect Speech?

MBINU ZA KUSOMA NA KUFAULU MITIHANI


MBINU    ZA    KUSOMA     NA  KUFAULU      MITIHANI
NIni   Cha  Kufanya  Mwanafunzi  ?
{}.  Weka  lengo maalumu  la   kusoma  kila  siku  na  litimize.
{}.Uwe  na  ratiba   yako   binafsi  ya  kujisomea  nyumbani  na  ifuate. Hakikisha   ukiwa    nyumbani  una   ratiba  ya  kujisomea  na  wala  sio  unpokuwa  shuleni  tu.
{}. Jisomee  katika    muda   unaodhani   unafaa  zaidi.
{}.Tenga    muda  wa  kutosha  kwa  kila  somo.
{}.Yapende  masomo  yako  na  tena   uyafurahie.
{}. Jenga  tabia  ya  kuyaombea   masomo  yako  kila    siku   na  kila  mara.
{}.Uwe  na   muda  mwingi  wa  kujisomea  kila   siku, usipoteze  muda   kwa  mambo  yasiyo   ya  lazima  kama   vile  maongezi,mizaha,utani.
{}.Penda   kuukomboa  wakati ,tambua  muda  ukipita  haurudi   tena.   EFESO  5:15—17.
{}. Waheshimu  wale  wote   wanaokulea  na   kukuhudumia.
{}.Uwe  na  mahali   maalumu  pa  kusomea.
{}.Hakikisha  mahali  pa kusomea , pana    mwanga   wa  kutosha.
{}.Tafuta   mahali  pasipo  na  kelele  za  aina   yoyote.
{}. Jenga   tabia  ya   kufanya   mazoezi  ya   mwili   kama   vile  kucheza  mpira, kuruka  kamba n.k.
{}. Usifanye  mambo  mengi  kwa  wakati  mmoja. Kwa   mfano, mapenzi  au  anasa  za   kimwili  wakati  ungali  mwanafunzi. Hivyo  ni   vikwazo  masomoni.
{}.Ni  vizuri  kujihusisha  na  watu   wengine ,  jambo  hili  litakufariji  kimawazo.
{}. Fanya   bidii  sana   katika    kusoma   ni  lazima UTAFAULU.  MITHALI  10:4.
NINI    CHA   KUFANYA  UNAPOKUWA  SHULENI / CHUONI/DARASANI   ?
{}.Ipende  shule  unayosoma au  chuo  unachosoma,hata  kama  watu  wengine   wanasema  maneno  mabaya  kuhusu  shule  yako.
{}. Soma  kazi  zako  zote  za  darasani  kabla  ya  kuanza   darasa.
{}.Fika  darasani   kwa  wakati   unaotakiwa  ili   usikose  maagizo.
{}.Usikose   kipindi   bila    sababu   maalumu.
{}.Wasilisha   kazi  za   darasani kwa  wakati   wake.
{}.Epuka  kukaa  kimya   na   nyuma  ya  darasa,bali  shiriki  katika  mazungumzo  ya  darasani  na   wenzako.
{}.Usiwe  mtu  wa   kukaa  tu  darasani , uliza  na   jibu   maswali  yanapoulizwa.
{}.Wakati    mwalimu  hajafika  darasani , pitia  yale  uliyojifunza   kipindi  kilichopita.
{}. Msikilize   mwalimu  anapokuwa    anafundisha  darasani.
{}.Baada  ya   kipindi, pitia     yale   uliyojifunza.
{}.Jijengee  tabia   njema  ya  kujizuia  katika    tamaa  za  mwili.
{}.  Jenga  uhusiano  mzuri  kwa    walimu  wako  na   kwa  wanafunzi  wenzako.  Ukiwa  na   amani  moyoni, utasoma  na   kuelewa.  Jistahi  na   kuwapenda  walimu  wako.  Ukimpenda  mwalimu    utaliewa  vizuri  somo   lake. Wapende  walimu    wanaokufundisha.Tambua  ukimchukia  mwalimu  na   somo  analokufundisha  lazima  utalichukia  tu.
{}.Hudhuria  shughuli     zote  za   shule  nje  ya  darasani.
{}.Unapokuwa   na    matatizo  kimasomo, mwone  mwalimu  anayehusika.
{}.Jiandae   kwa  mitihani  kila  wakati ,  usingoje   mwalimu  atangaze  kuwa  ataleta   mitihani  ndipo   usome.
{}.Epuka  kuwaonea  WIVU   na   kujilinganisha  na   wengine  kimasomo, bali, jifunze  tu  siri  za   mafanikio  yao.
{}. Jenga  tabia   ya    uvumilivu  na   kamwe   usikate  tama  wakati  ugumu  unapoibuka   masomoni.
{}. Jenga  tabia  ya   kupania   kufaulu  katika   masomo  yako.
{}. Amini   kuwa   utafaulu.
{}. Amini   na   wewe  unaweza   KUFAULU, hata  kama  mazingira  uliyonayo  ni  magumu. Mfano   U—mtoto  Yatima ,  huna  ada ,huna  fedha  za  matumizi   “Pocket  Money” , husomi    masomo   ya  ziada    TUITION “  unaishi   maisha    magumu n.k.
{}.Chunguza  masomo   yako   ili  ujue  udhaifu  wako  uko  wapi.
{}.Uwe    mwanafunzi   mdadisi  wa    mambo   kwa  walimu   na  hata  kwa    wanafunzi  wenzako  pia.
{}. Epuka   marafiki  wabaya  wenye  nia   ya  kukupotosha.
{}.Kaa  na   wale   wanaoweza  kile  usichokiweza
{}. Ni  vizuri  pia  kuwa  na   mwanafunzi  mwenzio   wa  kujadili  naye.
NINI    CHA   KUFANYA   WAKATI  WA   KUJISOMEA ?
{}.SHETANI   hapendi   ufanikiwe , hivyo  kabla  ya  kuanza kusoma  fanya   SALA.
{}. Epuka  kitu  chochote  kinachoweza  kukufanya  usisome  vizuri.Hakikisha   unapoanza  kusoma   umekaa  mahali  ambapo   pana  utulivu  na  hupati   usumbufu  usio  na   sababu  za    msingi,
{}.Kabla   hujaanza   kujisomea, hakikisha  kuwa  zana  zote   muhimu  kwa    kusomea  zipo, mfano  vitabu , kalamu n.k.
{}. Ni  vizuri  ukiwa  unasoma  uwe  na  SAA , hii  itakusaidia  kuelewa   muda  halisi   uliosoma.
{}. Wakati   wa   kusoma  hakikisha  unakuwa  na  daftari  jingine ambalo   utakuwa  unaandika   mambo   usiyoyafahamu  vizuri .
{}. Epuka    kusoma  hadi   usiku  sana ,  utaharibu  afya    yako .
{}. Usisome   mambo    mengi  kwa  wakati  mmoja.
{}. Epuka    kusoma    ukiwa   umejilaza  kitandani.
{}.Uwe   na   muda    wa   kumpuzika   kila  unapochoka  kusoma.
{}. Epuka   pombe , uvutaji  wa    sigara ,bangi  na  madawa   ya  kulevya. Huharibu  ubongo   na    kudhoofisha  afya.
{}.Kila   nafasi    unayoipata   itumie  kwa   kusoma.
{}. Usiendekeze   usingizi  katika    muda  wako  wa   kujisomea.
{}. Soma   vitabu  mbalimbali  vinavyohusiana  na   hicho   unachokisoma.
KABLA  YA   MTIHANI /BEFORE  THE   EXAMINATION .
{}.Kabla ya  mtihani ,soma  kwa  bidii  sana  usingoje  mtihani  umekaribia  ndipo   usome.
{}.Soma   kwa   mpangilio   kila  siku  ili  kujiandaa  kikamilifu  kwa  mtihani.
{}. Usitumie   vilevi  vinavyopelekea   mtu  kupunguza  uwezo  wake  wa  kufikiri. Mfano   bangi , bia , sigara ,unga  wa  kulevya.
SIKU   YA   MTIHANI / DURING   THE   EXAMINATION.
{}.Usiku   unaofuatiwa  na    siku   ya   mtihani  uwe   na   muda   wa  kutosha  wa  kulala.  Usisome  hadi   usiku  wa   manane.
{}. Siku  ya   mtihani, usifikirie  kushindwa  bali  uwe  na   imani  kuwa   utashinda.  Ondoa  wasiwasi  na   mashaka.
{}.Wahi  kwenye  chumba  cha   mtihani   kwani  kuchelewa   huleta   hofu.
{}.Chukua  vifaa  vyote    muhimu  katika  mtihani  kama   vile  kalamu ,penseli  na   rula.
NDANI   YA  CHUMBA    CHA    MTIHANI
{}.Soma  maagizo /maelekezo ya  mtihani  kwa  uangalifu  sana ,na   hakikisha  uko  makini  kwa  kile   unachotakiwa   kufanya  kabla  ya  kujibu  swali   lolote.
{}.Kabla  hujaanza   kujibu  maswalli ,angalia    maswali    ambayo  ni  rahisi  kwako    kujibu.
{}. Jibu  maswali  rahisi  kwanza  na  kwa  haraka   ili  upate  muda  wa  kutosha   kujibu   maswali    magumu.
{}. Usijibu   swali   bila   kuelewa   linataka  nini.?  Jibu  utakalojibu   litakuwa   tofauti   na    swali.
{}.Usiwe    na   haraka  ya    kumaliza  mtihani  kutakufanya  usijibu  kwa  makini.